見出し画像

ももたろう作ったからみてほしいです

Habari za siku nyingi?
Mimi niko salama.

Tumerudi Japani mwezi wa tatu mwisho halafu tunakaa nyumbani.

Ninataka kurudi Tanzania lakini corona bado ipo Japani na Tanzania.

Rafiki yangu na mimi sasa tulifikiri tufanye nini kwa wanafunzi wote.
Tumetengeneza kitabu cha haditi ya Japani. Inaitwa “Momotaro”.

Mkikuwa na muda, tafadhali msome na msikilize!
Halafu tafadhali sharing wanafunzi na watoto!
Tunatamani walimu, wanafunzi, watoto wote wasome na wasikilize kitabu hiki.

Asante kwa kusoma barua.
Siku njema!!!

同期とももたろうスワヒリ語バージョン作ってみました!見てください〜!!(しかし間違っているところもあります・・・スワヒリ語まだまだですな。)


この記事が気に入ったらサポートをしてみませんか?